UDFTANZANIA@GMAIL.COM
+255-784-212573 (WHATSAPP) +255-658-212573 (WHATSAPP)
Home
Blog
Photos
Videos
Media
Get Involved
Volunteer
More
JUMANNE iliyopita, Desemba 13, 2011, dunia ya wapenda soka ilikuwa ikishuhudia pambano la hisani lililo katika mradi, ‘project’ maalumu iliyopewa jina la ‘Match Against Poverty’ iliyopigwa ndani ya dimba la Hamburg Arena, ulioko jijini Hamburg nchini Ujerumani.
KONTENA mbili zenye vifaa vya walemavu yaliyokuwa yamekwama bandarini kwa zaidi ya mwaka mmoja kutokana deni, zimetolewa baada ya Serikali kuomba kusamehewa deni hilo.
UONGOZI wa Bandari ya Nchi Kavu, iliyoko Kurasini jijini Dar es Salaam, imeyaachia makontena mawili ya baiskeli za walemavu uliyokuwa ukiyashikilia kwa miaka miwili sasa.
KAMPUNI ya Simon Group ya mjini Dar es Salaam, imejitosa TSH.MILION 10, kudhamini pambano la hisani kuchangia walemavu kati ya Mabingwa watetezi Yanga na Azam FC.
Vodacom Premier League giants Young Africans (Yanga) and Azam are expected to lock horns in a charity match organized by the Unity in Diversity Foundation (UDF) to be played at the National Stadium in Dar es Salaam today.
UDF has organized the match to raise funds for paying storage expenses for imported wheelchairs that are currently at the Dar es Salaam port.
One of the many problems faced by Mbeya, a region in the sub-Saharan country of Tanzania, is the lack of adequate educational and learning materials for secondary schools.